OpenStreetMap ni ramani huria ya mitaa ua dunia, iliyotengenezwa na jamii inayokua ya wachora ramani.

Mtu yeyote anaweza kuhariri OpenStreetMap. Hapa utaweza kujifunza jinsi JifunzeOSM inatoa urahisi wa kuelewa, muongozo wa hatua kwa hatua kwa ajili yako kuanza kuchangia kwenye OpenStreetMap na kutumia OpenStreetMap, pia na kutumia data za OpenStreetMap. Kama ungependa kuendesha mafunzo ya OpenStreetMap, tazama rasilimali ya kufundishia JifunzeOSM