Mwongozo kwa anaeanza

Muongozo huu unaonyesa hatua kwa hatua jinsi ya kuanza katika OpenStreetMap (Ramani Huria). Utajifnza jinsi ya kusajiri akaunti, jinsi ya kutumia program za kutengeneza ramani, na kutoka inje ili kukusanya tarifa za kuweka kwenye ramani.

Kwa sura zinazofuata unaweza kujifunza jinsi ya kutoka nje na kukusanya taarifa za kuweka kwenye ramani.Sura zinazofuata zinataarifa kuhusu HOT Remote Mapping